Natafuta Toyota wish 7M

Natafuta Toyota wish 7M

Sciah Leon

New Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
3
Reaction score
0
Nataka kununua Toyota wish namba D aya mwanzoni iwe nyeusi kwa 7M kama unayo naomba namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
 
Ninayo Wish nauza milioni 6.5 namba DKT rangi blue.

Nitext whatsapp tu kwenye namba 0754747050 ipo Mwanza mjini
 
Back
Top Bottom