Natafuta trainer/mwalimu wa uhasibu(mfunga mahesabu proffesional)aliyeko Dar

jacquejaytee

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
48
Reaction score
30
Kichwa cha habari chahusika.
-Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa kufunga mahesabu kitaalam,anayejua kutumia accounting packages na kila kinachohusiana na uhasibu kimatendo ( practically)
-Awe anaishi dar
-Mwanafunzi ni mhitimu wa chuo anahitaji kujibrush kuhusu uhasibu kimatendo/kiuhalisia tofauti na ile kufundishwa darasani kinadharia.
Natanguliza shukrani
-ofcourse kutakua na kifuta jasho
 
Wahasibu mnaitwa hapa, fursa ni yenu, mshindwe nyie tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…