KIDOLEGUMBA
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 498
- 110
mkuu unataka size gani kwanza maana kna 2*2, kna 2*4, kna 2*6...ila nachojua wanauzaga kwa futi.wewe unataka sizw gani hapo.maana znapatikana sehem nyingi tu inategemea wewe uko wapi
2*2 kwa futi ni 200 na kitu2×2 na 4×2 kwa futi, nipo mbagala
mimi najua hapa B kinondoni.kwa mbagala sijajua mkuuzinapatikana wapi ambapo haitakuwa mbali na mbagala?