Natafuta Turbo na fuel Pump ya Nissan Patrol Y61, engine zd30

Natafuta Turbo na fuel Pump ya Nissan Patrol Y61, engine zd30

Si uende ilala au kama unajiweza uende pale vingunguti DT dobie nissan?
Au zama tandale kule zipo kibao
 
habari ya leo wakuu, natafuta Turbo pamoja na fuel pump ya Nissan Patrol Y61, ZD30 engine tafadhali nicheki whatsapp kama unayo, asante. +255675308774

Turbo yako ni kama hizi 👇

IMG_20230530_154748.jpg


IMG_20230530_154711.jpg


Au kama hizi👇

IMG_20230530_154338.jpg


IMG_20230530_154411.jpg


Kama huna haraka nikuagizie mpya....
 
Mkuu hizo zipo moja imekuja na gari Na nyingine ipo kwenye engine used ngoja nikucheki.
 
13AD978E-FC3E-4E11-B4F6-C0F0377A6F1E.jpeg
E28485A7-20A1-4AC3-AADF-875668B976EF.jpeg

Mkuu ukitaka parts yoyote ya Zd30 kwenye engine zipo. Engine moja ni Zd30ddt-i yenye pamp na nozzle za umeme na nyingine Zd30ddt yenye pamp na nozzle za kawaida
 
Back
Top Bottom