Natafuta Twisheni ya masomo ya physics, chemistry na biology Dodoma

deepsea

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
3,287
Reaction score
944
Naomba msaada wenu kuna ndugu yangu anafanya mtihani mwaka huu naomba msaada wenu kuelekezwa mwalimu au walimu wazuri au tution nzuri kwa dodoma mjini ambapo ataweza kujiandaa vyakutosha ili mwishoni mwa mwaka huu afanye mtihani wa kidato cha nne.
 
Bado naomba msaada wenu
 
ni pm tuongee vizur mi nina center ya tution hapa dom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…