Natafuta ufadhili wa kazi za ufundi wa vitotoleshi (incubator machine)

Natafuta ufadhili wa kazi za ufundi wa vitotoleshi (incubator machine)

kepha joseph

Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
14
Reaction score
4
Habari wanajukwaaa kwa wale wenye mashamba mifugo kama kuku, bata, kanga n.k mimi ni fundi wa kuunda vitotoleshi vinavyotumia nishati ya umeme, sola, geneleta pia ni nina ujuzi wa kulea vifalanga na kuhudumia mifugo

Hivyo mtu anayehitaji kijana wa kusimamia miladi yake kijana wa kazi nipo. Ninaishi Mwanza mawasiliano yangu ni 0694103055.
 
Back
Top Bottom