Natafuta Ufadhili wa masomo Chuo Kikuu

Natafuta Ufadhili wa masomo Chuo Kikuu

Ikimbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
301
Reaction score
32
Habari wana Jf Nimechaguliwa kujiunga na shahada ya Elimu chuo cha SUA sasa natafuta mtu wa kunidhamini kulipa Ada pee kwa Mwaka wa kwanza ambayo ni Milion moja na laki mbili na elfu sitini na tatu. 1,263,000/= mwenye kunisaidi napatikana kwa namba 0773422526. Nipo serious kumbuka elimu ndiyo mkombozi. Tukiwasiliana utaratibu mwingine tutauongea.
 
Habari wana Jf Nimechaguliwa kujiunga na shahada ya Elimu chuo cha SUA sasa natafuta mtu wa kunidhamini kulipa Ada pee kwa Mwaka wa kwanza ambayo ni Milion moja na laki mbili na elfu sitini na tatu. 1,263,000/= mwenye kunisaidi napatikana kwa namba 0773422526. Nipo serious kumbuka elimu ndiyo mkombozi. Tukiwasiliana utaratibu mwingine tutauongea.

umechaguliwa course gan?na vp kwani hukuomba mkopo?...samahan nauliza kwa nia safi
 
Nimechaguliwa Bsc Education Geography & Biology. Mkopo nilichelewa kuomba so nahitaji mwenye kunisaidia jamani nafasi nimeipata nikiikosa sijui kama itajirudia. Msaada ndugu zangu.
 
umechaguliwa course gan?na vp kwani hukuomba mkopo?...samahan nauliza kwa nia safi

Nimechaguliwa Bsc Education Geography & Biology. Mkopo nilichelewa kuomba. Msaada wa nafasi niliyoipata nisiipoteze.
 
Karibu jukwaani, jaribu bahati yako. Mimi nilikuwa na plan B enzi hizo licha ya kujitokeza hapa jukwaani nilipata michango ya mawazo tu, na kama plan B ilionekana kunipa chochote bado watanzania wasio na huruma wala utu walitumia nafasi hiyo kudhulumu haki yangu kwa plan B niliyokuwa nayo. Kwa kuwa ni msimu wa neema baada ya kutoka bunge la katiba unaweza bahatika kujipatia mfadhili. Ushauri jitahidi kupitia jukwaa la Elimu huko kuna thread nyingi zinazohusu issue kama ya kwako utasoma maoni na uchambuzi mbalimbali kisha utafarijika. Mie nikutakie safari njema ya kuingia SUA. Si mbaya pia ukafika SUA ukaonana na uongozi wa chuo watakupa support kwa mwaka huo wa kwanza kisha mwaka wa pili ujisajili na mkopo upya
 
Kama wewe ni mtoto wa mkulima mwone mhe.Pinda;na kama wa mfugaji mwone mhe.Lowasa;na kama mtoto wa ... mwone mhe.Kikwete
 
Nashukuru kwa Mawazo yenu mazuri, ila kuwapata hao wakubwa Kuna mlolongo mrefu ukweli nahitaji wa kunisaidia. Mbunge wangu hata hasomeki.
 
Kama wewe ni mtoto wa mkulima mwone mhe.Pinda;na kama wa mfugaji mwone mhe.Lowasa;na kama mtoto wa ... mwone mhe.Kikwete

yaan mtu yupo serious lakin wewe unaleta maneno yako ya shombo,kama ulikua huna cha kuchangia bas ungekaa kimya kuliko huu utumbo uliouandika?
 
Ucthubutu hata mala moja kukata tamaa.mwenyewe nimekuwa muhanga wa hilo tatizo tena nikiwa level ya chini kabisa,form 1.kwa vile nilijua nn nataka,ckuchoka kuhangaika sehemu mbalimbali nilipo hisi nitapata msahada.kweli nilikutana na mengi changamoto za hapa na pale lakini mwisho wa cku nilipata nilicho kuwa nakihitaji!nilipata mdhamini,akanipeleka shule na ameni sponsor kwa kila kitu mpaka katika hii level ya elimu nilipo sasa.hivyo nakusihi usichoke japo wengi watakudhihaki na kukubeza tena baadhi yao kukupa mpaka ahadi za uongo ili mradi ucfike mbari.kaza buti nina imani cku moja utakuwa katika sehemu ambayo hutaamini kama ni ww uliye fika.yangu ni hayo.
 
Wadau tangazo langu nakumbushia tena!
 
Pole sana Ikimbu!
Lakini huwa ni bahati sana kupata msaada wa aina hii, katika hii dunia. Wengine wana pesa lakini dunia hawaiamini. Wengine wana pesa lakini wanasaidia makundi. Ni vyema ujipange maana si rahisi ukapata hizo pesa hapa. Hapa ni ushauri na kujichora tu.
Kama vile tunavyoweza kuchangisha kwa harusi, waweza tengeneza kadi hata 60 za kuomba mchango. Wape ndugu na marafiki. Angalau mtu atoe elfu 30. Nadhani itakusaidia. Hakuna pesa utakayopata kirahisi hivyo.
Na ukitegemea hapa JF, hakika hupati kitu ng'o!!!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana Ozzie ushauri wako naufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom