Nina biashara yangu mahali na inaonekana vibaka ndiyo wanaweza wakanirudisha nyuma nisipochukua hatua yoyote kuwadhibiti. Nimeona pamoja na hatua nyingine nitakazochukua kuwadhibiti njia nyingine ni kuweka upupu eneo ambalo vibaka wanaweza kupita. Nahitaji kama debe mbili au tatu za huo upupu. Kwa mwenye info tuwasiliane inbox.
Pia ningependa kujua upupu kama huo ukitegwa sehemu unaweza kukaa muda gani kabla nguvu yake ya kufanya kazi haijapungua?