Wadau mwenye link ya mashine hizi za kupondea kokoto za ukubwa mbalimbali naomba anisadie preference ni mobile stone crusher ya uwezo wa tani 5 mpaka 10.............mengine zaidi mtanisaidia.
bajeti yako kiasi gani tuma specification zako na size ya out put product . nataka uelewe hizi sio machine za chini ya sh 50 million kama huna hiyo pesa usijisumbue kuwekeza kwenye sector hii