Injini za 2LT si mbaya sana kama watu wanavyosema,just imagine umenunua gari let say Prado au Surf halafu uongezee kama 3.5M kwa ajili ya kununua ingini nyingine ya 1KZ ya kubadilisha,ni ghalama kubwa!!!!,injini ya 2LT ni ingine ambayo driver anatakiwa awe na displine,Prado na Surf zinasafiri kwenda umbali mrefu kama magari mengine,but make sure tempreture gauge haiendi kwenye RED,kwa kumake sure maji kwenye radiator yapo,fan inafanya kazi.temp ikipanda mpaka Red umeua cylinder head.Mr wangu anatumia injini ya 2LT toka 2005 mpaka leo iko oda na mikoani anakwenda nayo kwa sana!!