Natafuta eneo la kukodi kwa mkataba wa miaka 2 au miaka 3. Liwe ama barabara ya morogoro road kati ya kimara hadi ubungo, ama segerea hadi tabata relini. Mwenye eneo awasiliane nami gracemary_john@yahoo.com Eneo liwe na ukubwa wa kutosha angalau 30x30 au kubwa zaidi ya hiyo
Unataka kulifanyia nini tupe data tuelewe kama ni kanisa itakua noma kwa sababu nasikia watu wakichukua eneo lako wakafungua kanisa imekula kwako manake kuhama inakuaga mbinde