Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila lakheriHabari zenu wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari,pikpik au bajaj.
Kama kuna mtu anafursa hiyo na ananafasi tuwasiliane
nipo kahama kwa sasa
Asanten