N Ngulutu Member Joined Apr 11, 2022 Posts 29 Reaction score 25 Oct 20, 2024 #1 Habari zenu wakuu! Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari, pikpik au bajaj. Kama kuna mtu anafursa hiyo na ananafasi tuwasiliane. Nipo kahama kwa sasa. Asanteni.
Habari zenu wakuu! Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari, pikpik au bajaj. Kama kuna mtu anafursa hiyo na ananafasi tuwasiliane. Nipo kahama kwa sasa. Asanteni.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Oct 20, 2024 #2 Ngulutu said: Habari zenu wakuu! Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari,pikpik au bajaj. Kama kuna mtu anafursa hiyo na ananafasi tuwasiliane nipo kahama kwa sasa Asanten Click to expand... Kila lakheri
Ngulutu said: Habari zenu wakuu! Nipo kwenye mchakato wa kujifunza hii biashara, mbinu ninayotaka kuitumia ni kupata sehemu yaani duka linalouza spea za magari,pikpik au bajaj. Kama kuna mtu anafursa hiyo na ananafasi tuwasiliane nipo kahama kwa sasa Asanten Click to expand... Kila lakheri