Horsepower ya kinu cha kukoboa/kusaga ni 25 HP na horsepower ya kinu cha kukamua alizeti ni 20 HPSema horsepower,amperage na voltage zipo kwenye motor nameplate, nitakuambia exact what to buy kabla hujaikaanga machine yako
Horsepower ya kinu cha kukoboa/kusaga ni 25 HP na horsepower ya kinu cha kukamua alizeti ni 20 HPLazima ujue HP na voltage ya motor sio kununua tuu
25 HP ni kubwa sana mazee kwa VFD kufanya kazi, nyingi za kubadilisha single phase to three phase ni kwa motor za chini ya 10HP zaidi ya hapo main breaker itakata instantly, solution waite TANESCO wakuwekee three phase au diesel generator, labda wengine wana solution zaidi watasaidiaHorsepower ya kinu cha kukoboa/kusaga ni 25 HP na horsepower ya kinu cha kukamua alizeti ni 20 HP
Voltage 380 - 415 volt.
Ahsante sana kwa ushauri mkuu. TANESCO ndio hivyo tena haijulikani wataweka lini na generator ya diesel running cost ni kubwa haitalipa faida.25 HP ni kubwa sana mazee kwa VFD kufanya kazi, nyingi za kubadilisha single phase to three phase ni kwa motor za chini ya 10HP zaidi ya hapo main breaker itakata instantly, solution waite TANESCO wakuwekee three phase au diesel generator, labda wengine wana solution zaidi watasaidia