robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 842
- 1,425
Usihangaike na VETA, Mbona kuna watu walifeli form 4, wakasoma hapa na pale leo wanaongoza nchi?Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata kuhesabu ni shida. Nimeona ni sehemu nzuri ya kwenda.
Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya CCM, sasa nami natafuta VETA ya Ubunge. Iko wapi wa-TZ wenzangu?
Ipo ile VETA ya KIbaha Ilijengwa na wachina!mimi natafuta VETA inayofundisha kozi ya ccm kuhusu kukosa akili
Si Uwaziri?Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata kuhesabu ni shida. Nimeona ni sehemu nzuri ya kwenda.
Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya CCM, sasa nami natafuta VETA ya Ubunge. Iko wapi wa-TZ wenzangu?
Kweli. Mm natafuta VETA inayo wafundisha ccm namna ya kuiba KURAmimi natafuta VETA inayofundisha kozi ya ccm kuhusu kukosa akili
πππ Ili kulisaidia taifa au sioBaada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata kuhesabu ni shida. Nimeona ni sehemu nzuri ya kwenda.
Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya CCM, sasa nami natafuta VETA ya Ubunge. Iko wapi wa-TZ wenzangu?
πππππππKaribu mkuu, hata huyu mkenya nili mfunza Mimi.
View attachment 3275434
Gentleman,Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata kuhesabu ni shida. Nimeona ni sehemu nzuri ya kwenda.
Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya CCM, sasa nami natafuta VETA ya Ubunge. Iko wapi wa-TZ wenzangu?