Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Inaweza kuwa bei gani mkuuNenda CCBRT hospital wananchongea kulingana na size ya mguu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jambo la muhimu ni mtoto afike hapo CCBRT aonwe na wataalamu ambao watampima na kugundua kuwa viatu vitatosha kumpatia matibabu au operation itamsaidia mtoto, kuwahi mapema ni muhimu sana katika matibabu haya la sivyo mtoto atakuwa kilema maisha yake yote.
Umemshauri vyema, maana mara nyingine huwa wanamshauri tu mzazi vyakula vya kumpatia mtoto mpaka anakuwa sawa.Mkuu jambo la muhimu ni mtoto afike hapo CCBRT aonwe na wataalamu ambao watampima na kugundua kuwa viatu vitatosha kumpatia matibabu au operation itamsaidia mtoto, kuwahi mapema ni muhimu sana katika matibabu haya la sivyo mtoto atakuwa kilema maisha yake yote.
Nenda CCBRT..Poleni na kazi na majukumu ya kutafuta riziki. Jamani mwanangu ana matege nimetumia dawa za vitamini D lakini bado sioni mabadiliko ana miaka miwili sasa.
Je, wapi nitapata viatu vya kunyoosha miguu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri yako mkuu. Mimi wiki iliyopita CCBRT wameninyoosha laki tatu na arobaini kwa viatu hivyo.
Ok nimeenda ccbrt mwezi wa tatu sasa wananipa vitamini D tu ila bado anaendelea na vodonge vya vitamini D vikiisha nitaenda kuwasililiza wataalamu nashukuru kwa ushauri wenu mbariiiwe wa JFHeri yako mkuu. Mimi wiki iliyopita CCBRT wameninyoosha laki tatu na arobaini kwa viatu hivyo.
Naomb no yako nilikua nahitaji hivyo viatu ka bado unavyo mwanangu ana miez mitatu anayo hiyo shida