Liston Cosmas
Member
- Mar 4, 2015
- 12
- 11
Kachongeshe gerezanani kule kwenye karakana vya bati pieces 20 watakuanbia 35, 000 ila hivo ubaya wake ni kuwa vinatoboka na kupata kutu, kuna original vyake ambapo havitoboki wala kupata kutu pieces 40 sh 250,000 mpaka laki 3.
Njoo pm nikuuzieAsante sana. Hizo original zinauzwa wapi?
Unazitaka? Njoo pm nikuuzie