Natafuta vifaa hivi vya Nissan Dualis, DBA-KJ10

Natafuta vifaa hivi vya Nissan Dualis, DBA-KJ10

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima.

tuende kwenye Mada

Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan dualis niuzie upate pesa chap chap

1. Engine Cover, hii ndio ninayohitaji.

IMG-20210920-WA0006.jpg


2. Inner fender(madgad) (nayohitaji ni ya left), hii ni mfano ili watu waelewe inner fender ipoje

IMG-20210922-WA0004.jpg


Mwl.RCT Kama kuna chochote naweza pata hapo kwa Easybuy changamkia nitumie order no nilipe
 
Back
Top Bottom