Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,816 Reaction score 8,809 Sep 24, 2021 #1 Husika na kichwa cha habari hapo juu, Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima. tuende kwenye Mada Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan dualis niuzie upate pesa chap chap 1. Engine Cover, hii ndio ninayohitaji. 2. Inner fender(madgad) (nayohitaji ni ya left), hii ni mfano ili watu waelewe inner fender ipoje Mwl.RCT Kama kuna chochote naweza pata hapo kwa Easybuy changamkia nitumie order no nilipe
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Namshukuru Mungu ni mzima hata sasa, Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Kikubwa Uzima. tuende kwenye Mada Kama unajua/unauza vifaa hivi vya nisaan dualis niuzie upate pesa chap chap 1. Engine Cover, hii ndio ninayohitaji. 2. Inner fender(madgad) (nayohitaji ni ya left), hii ni mfano ili watu waelewe inner fender ipoje Mwl.RCT Kama kuna chochote naweza pata hapo kwa Easybuy changamkia nitumie order no nilipe
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Sep 24, 2021 #2 Myahudi Jr II said: Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Click to expand... Pole sana ndugu. Myahudi Jr II said: nisaan dualis Click to expand... Je hii gari yako ni ya mwaka gani?
Myahudi Jr II said: Jumapili nilinusurika ajali mbaya san, Click to expand... Pole sana ndugu. Myahudi Jr II said: nisaan dualis Click to expand... Je hii gari yako ni ya mwaka gani?
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,816 Reaction score 8,809 Sep 24, 2021 Thread starter #3 Mwl.RCT said: Pole sana ndugu. Je hii gari yako ni ya mwaka gani? Click to expand... 2010
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,816 Reaction score 8,809 Sep 24, 2021 Thread starter #4 Mwl.RCT said: Pole sana ndugu. Click to expand... Nashukuru sana Mwl
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,816 Reaction score 8,809 Sep 24, 2021 Thread starter #5 Myahudi Jr II said: 2010 Click to expand... Vifaa vingi vinaingiliana 2008-2010
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,816 Reaction score 8,809 Sep 26, 2021 Thread starter #6 Wakuu hata USED kama ipo mimi nanunua pia
Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,286 Reaction score 39,418 Sep 26, 2021 #7 Mchek huyu jamaa ana vifaa used
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 26, 2021 #8 Pole sana, ngoja waje kukupa muongozo.