Natafuta vifaranga vya kuku wa mayai kwa Mwanza au Shinyanga

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,526
Habari zenu wakuu, Mimi nipo Ushirombo Mkoani Geita , shida yangu ni vifaranga vya kuku wa mayai kwa ajili ya biashara na kwa matumizi ya nyumbani je ninaweza kuvipata na bei yake ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…