mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Jun 27, 2022 #1 Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Jun 27, 2022 #2 mtwa mkulu said: Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni Click to expand... Ni kuroiler mkuu, uhakika labda uagize Akm Glitters hawa ndo wana Parents stock wa Kuroiler tofauti na hao jiandae kudanganywa
mtwa mkulu said: Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni Click to expand... Ni kuroiler mkuu, uhakika labda uagize Akm Glitters hawa ndo wana Parents stock wa Kuroiler tofauti na hao jiandae kudanganywa
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Jun 27, 2022 #3 Sasa mbeya ndio tunaamini na tunapigwa mikoa mingine kuwa mnatoa malawi kumbe na ninyi mnauziwa 7th filial generation?
Sasa mbeya ndio tunaamini na tunapigwa mikoa mingine kuwa mnatoa malawi kumbe na ninyi mnauziwa 7th filial generation?
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Jun 28, 2022 Thread starter #4 CHASHA FARMING said: Ni kuroiler mkuu, Uhakika labda uagize Akm Glitters hawa ndo wana Parents stock wa Kuroiler tofauti na hao jiandae kudanganywa Click to expand... Wanapatikana wapi, vipi mawasiliano yao
CHASHA FARMING said: Ni kuroiler mkuu, Uhakika labda uagize Akm Glitters hawa ndo wana Parents stock wa Kuroiler tofauti na hao jiandae kudanganywa Click to expand... Wanapatikana wapi, vipi mawasiliano yao