Natafuta vikombe vya karatasi (hot paper cups)

Natafuta vikombe vya karatasi (hot paper cups)

Ortega

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
844
Reaction score
209
Mimi
niko dar, kwa yeyote mwenye kujua mahali nitapata vikombe hivyo ambavyo
kwa mfano unaweza kutumia kunywea kahawa na kutupa baada ya matumizi.
Anisaidie mawasiliano au namna ya kuvipata. Kwa whatsapp napatikana kwa no: 0712 787939. Natanguliza shukrani. Ortega
 
Vinapatikana kwenye supermarkets nyingi tu. Hata shoprite pia
 
Back
Top Bottom