Jackmakundi Member Joined Feb 13, 2020 Posts 8 Reaction score 2 Nov 26, 2020 #1 Habari wana jamii, natafuta vimini(sofa za mkeka) zinapatikana wapi. na bei zao ni zipi?
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,698 Nov 26, 2020 #2 mbona zipo nyingi tuu zinauzwa pale mbele ya kituo cha mbuyuni oysterbay kama unaelekea posta
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,795 Nov 26, 2020 #3 papason said: mbona zipo nyingi tuu zinauzwa pale mbele ya kituo cha mbuyuni oysterbay kama unaelekea posta Click to expand... Thread closed!
papason said: mbona zipo nyingi tuu zinauzwa pale mbele ya kituo cha mbuyuni oysterbay kama unaelekea posta Click to expand... Thread closed!
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Nov 26, 2020 #4 Hizo hazitufai mabaharia ambao sofa inakazi zaidi ya moja