Natafuta vioo vya samsung

Natafuta vioo vya samsung

kioo cha dukani cha Samsung S series namba 1 bora ununue simu nyingine bei zinafana. Namba 2 ubora zero afadhali mwenye itel
 
Wakubwa, natafuta mahali panapatikana spea za Samsung S10,S9,. Shida ni kioo tu
Mkuu bora ununue simu nyingine tu vioo vya simu hizo ni kati ya laki mbili na nusu mpk laki tatu ufundi elfu kumi sasa chaguo ni lako.

Kuhusu machimbo ni agrey na msimbazi kama upo dar nicheki inbox

Mimi mwenyewe nina samsung not 10 plus na s10 plus zote zimekufq vioo lkn nimezitupia ndani😆staki utani kwenye maswala ya pesa
 
Back
Top Bottom