K Kevin kapumbu New Member Joined Dec 9, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Dec 10, 2024 #1 Wakubwa, natafuta mahali panapatikana spea za Samsung S10,S9,. Shida ni kioo tu
emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,001 Reaction score 1,430 Dec 12, 2024 #2 kioo cha dukani cha Samsung S series namba 1 bora ununue simu nyingine bei zinafana. Namba 2 ubora zero afadhali mwenye itel
kioo cha dukani cha Samsung S series namba 1 bora ununue simu nyingine bei zinafana. Namba 2 ubora zero afadhali mwenye itel
chrisbleez JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 752 Reaction score 1,239 Dec 12, 2024 #3 Kevin kapumbu said: Wakubwa, natafuta mahali panapatikana spea za Samsung S10,S9,. Shida ni kioo tu Click to expand... Mkuu bora ununue simu nyingine tu vioo vya simu hizo ni kati ya laki mbili na nusu mpk laki tatu ufundi elfu kumi sasa chaguo ni lako. Kuhusu machimbo ni agrey na msimbazi kama upo dar nicheki inbox Mimi mwenyewe nina samsung not 10 plus na s10 plus zote zimekufq vioo lkn nimezitupia ndanišstaki utani kwenye maswala ya pesa
Kevin kapumbu said: Wakubwa, natafuta mahali panapatikana spea za Samsung S10,S9,. Shida ni kioo tu Click to expand... Mkuu bora ununue simu nyingine tu vioo vya simu hizo ni kati ya laki mbili na nusu mpk laki tatu ufundi elfu kumi sasa chaguo ni lako. Kuhusu machimbo ni agrey na msimbazi kama upo dar nicheki inbox Mimi mwenyewe nina samsung not 10 plus na s10 plus zote zimekufq vioo lkn nimezitupia ndanišstaki utani kwenye maswala ya pesa