Mkuu umefanya utafiti wa kutosha, biashara ina changamoto sana hiyo, mfano watu wengi siku hizi wanasoma kupitia internet, baadhi ya watu wamekuwa wanatoa copy za vitabu wanauza kwa bei ndogo ww unabaki na ma original yako hayauziki kwa sababu ya bei, mashule na baadhi ya walimu wameingilia biashara, usomaji wa vitabu uko chini, ziko nyingi tu,