mdau wetu, ni kweli kabisa, mwandishi Mohamed Said Abdullah, Mzee MSA, ni mwandishi wa kipekee. Nadhani vitabu hivi havikuwahi kufanyiwa reprint, nilibahatika kuviona vichache used pale Masomo Bookshop Soko Kuu la Zanzibar.Wana JF naomba msaada wenu kwa Dar es Salaam naweza kupata wapi vitabu vya siku nyingi vya mwandishi mashuhuri Mohammed Said Abdulla. Nimetembea katika baadhi ya maduka ya vitabu bado sijafanikiwa kupata. Vitabu kama
1.Duniani kuna watu
2.Kisima cha Giningi
3.Mke Mmoja Watume Watatu
4.Siri ya sifuri
5.Mzimu wa watu wa kale
6.Kosa la bwana msa
Kwa waleo waliobahatika kusoma vitabu hivi bila shaka watakubaliana nami kwamba, vitabu hivi vilikuwa vya kipekee katika taaluma ya uandishi. Naombeni msaada wenu
Wana JF naomba msaada wenu kwa Dar es Salaam naweza kupata wapi vitabu vya siku nyingi vya mwandishi mashuhuri Mohammed Said Abdulla. Nimetembea katika baadhi ya maduka ya vitabu bado sijafanikiwa kupata. Vitabu kama
1.Duniani kuna watu
2.Kisima cha Giningi
3.Mke Mmoja Watume Watatu
4.Siri ya sifuri
5.Mzimu wa watu wa kale
6.Kosa la bwana msa
Kwa waleo waliobahatika kusoma vitabu hivi bila shaka watakubaliana nami kwamba, vitabu hivi vilikuwa vya kipekee katika taaluma ya uandishi. Naombeni msaada wenu
Hivi vinaitwa UNYAMA WA MAFIA aliandika baba yake na BANANA mwanamuziki yaani ZAHIRI ALLY ZORO.Kuna mdau anajua napoweza kupata kitabu cha ''SIKUNYONGWA''? Wahusika:
MZEE HEGAL KAARL UROOSE,
KABWE MAKANIKA,
BI. HALIMA,
PETER n.k.