Natafuta vitabu vya `usalama/security/intelligence`

YAHAYAMOHAMED1970

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
229
Reaction score
96
Hello wadau; Binafsi napenda kujisomea sana. Naomba yeyote aliye na current textbooks (softcopy) ya mambo ya usalama wa taifa aweke hapa ili anayependa download. Namaanishi vitabu vyenye ABC za mambo ya usalama. Huwa najaribu kutafuta online nakosa, vingi ni vya kununua. Simaanishi story textbooks za usalama. Naomba vitabu vyenyewe vya mambo ya usalama.

NAWASILISHA
 
Wewe ni yule aliyekua mtangazaji wa Star TV,..Yahaya Mohamed_asked out of curiosity.
 
Embu pitia hii kidogo
 
Asante sana, naona hii ni sheria. Nilikuwa natafuta `madesa` ya hii taaluma nijue abc zao. Napenda kujifunza zaidi na zaidi mambo tofauti
 
Asante sana, naona hii ni sheria. Nilikuwa natafuta `madesa` ya hii taaluma nijue abc zao. Napenda kujifunza zaidi na zaidi mambo tofauti

Unatafuta hivyo vitabu kwa makusudi gani na kwa mamlaka ipi ya kufanya hivyo Yahaya
 
Nielekeze namana ya kuattach pdf kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…