Natafuta vyakula vifuatavyo

Natafuta vyakula vifuatavyo

Joined
Apr 5, 2024
Posts
81
Reaction score
117
Habari wapendwa,
Natumaini mnaendelea vyema. Natafuta vyakula vifuatavyo. Kwa anayefahamu, nishtue PA kuzinunua.

  1. Carob powder (mbadala wa cocoa, Hainan cocaine)
  2. Spelt wheat/stone ground wheat flour. (Ngano pori ambayo haijachakachuliwa)
  3. Pistachios
  4. Brazil nuts
  5. Chestnuts
  6. Macadamia
  7. Pine sap
  8. Chick peas
  9. Black beans
  10. Rolled oats
  11. Spirula
  12. Himalayan salt
  13. Celtic salt
  14. Epsom salt
  15. Red clover
  16. Elder berry
  17. Wild lettuce
  18. Slippery elm
  19. Msm powder
  20. Njahe
  21. Wholegrain rolled oats
  22. Quinoa
  23. Hemp seeds
Nafahamu kuwa zipo supermarket, ila kama naweza kuzipata shambani au porini au sokoni, itakuwa vyema.
 
Ungetafuta maana zake kwa kiswahili ungepata kwa urahisi zaidi, masokoni hamnaga kitu unakosa, lugha ndio changamoto hapo.
 
Back
Top Bottom