Natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi.

Natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi.

Charles Elias

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
61
Reaction score
4
Samahani wapendwa,mimi ni mwalimu nimeajiliwa ajira mpya za 2014 natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi,yeye aje KWIMBA MWANZA mimi niende SONGEA RUVÙMA. Kama yupo naomba ajitokeze
 
Moods pls kwann mliondoa ile thread yetu yakubadilishana vituo vya kazi.
 
Back
Top Bottom