Sasa haikonzani vipi wakati maana uliyoitoa inaonyesha hivyo.Hapana haikinzani bali sasa hizo ni aina za uchawi... Kumbuka hata kama ni nguvu hasi kiroho lakini bado haimzuii mtu kujifunza na kuelimika
Mkuu ila pombe usiache mkuu.Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
NitakurejeaSasa haikonzani vipi wakati maana uliyoitoa inaonyesha hivyo.
Huko juu kama ulikuwa makini nilisisitiza juu ya maana na nikakupa maana ya maana na vijenzi vyake,lengo tusije kushughulika tena na maana ya Uchawi baada ya wewe kutoa maana ya tamko hilo. Lakini naona hali inakuwa kinyume. Sababu maana yako naona inaruhusu yaingie yasiyotakiwa kuingia na kuzuia yanayo takiwa kuingia.
Maana ulipose ni hasi...Maana yake vyote vinaangukia humo,ukivitoa baadhi ujue maana yako ina mushkeli.
Kwanini mtu ujifunze jambo ambalo hubadilisha uhalisia na kulifanya jambo baya kuonekana zuri na kufarakanisha watu ? Vipi uelimike kwalo ? Labda ujifunze ili uweze kuliepuka na si kulitendea kazi,ndiyo maana wale Malaika Harut na Marut,walikuwa wana watahahdarisha watu pale wanapo wafundisha Uchawi huo kwamba tunawafundisha lakini hii ni FITNA.
Sasa vipi ujifunze Uchawi kisha uelimike ?
OkayNitakurejea
Vichome motoNdugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Nitakurejea
Kuna kanuni moja huwa naitumia nayo ni kujifunza kila kitu lakini wakati wa kutenda nachagua yanayofaa...Okay
Naomba niseme kweli na niwe muwazi sana kwenye hili SITOWEZA! Moto unateketeza visible objects tuu.. Nguvu halisi itakugeukia na kuingia kwenye mapambano mapya na ukicheza vibaya tu umekwisha!Vichome moto
Utasikia amani zaidi.
Unachoma huku umeokoka na kuita Nguvu ipitayo nguvu zote, Yesu Kristo.Naomba niseme kweli na niwe muwazi sana kwenye hili SITOWEZA! Moto unateketeza visible objects tuu.. Nguvu halisi itakugeukia na kuingia kwenye mapambano mapya na ukicheza vibaya tu umekwisha!
Nimekupata vyema.Kuna kanuni moja huwa naitumia nayo ni kujifunza kila kitu lakini wakati wa kutenda nachagua yanayofaa...
Katika maisha tambua(jua) unafanya nini lakini usifanye kila unachotambua (jua)...Elimu ya maarifa haina ukomo hivyo pokea kila fundisho kishapo chambua baya na zuri kisha fanya maamuzi
Elimu ya utambuzi wa vitu ni silaha kubwa sana kwenye kuufahamu ulimwengu,mambo yake na waja wake... Ukiwa mfinyu wa maarifa utateswa na mengi, na wengi
Kujifunza uchawi kwa maana ya kuelimika hakuna tatizo kabisa...Nimewatoa tongotongo wengi sana hapa JF ..nimefundisha sana ushirikina kiasi kwamba wengi leo hawababaishwi na kitu kinachoitwa uchawi ulozi nknk
Hivyo basi pamoja na uchawi kiasili kuwa nguvu hasi lakini kufahamu AA BEE CHEE zake ni muhimu sana
Mkuu hujajua Ukuu wa Mungu kupitia Yesu Kristo.Kaka hizi sio tunguli wala hirizi tuu ni fully equipped kilinge..
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu hujajua Ukuu wa Mungu kupitia Yesu Kristo.
Mkiri na utaona nguvu hizo zinavyo legea na kupukutika.
Amini.
Uharamu unatokana na Imani na uhalisia,jambo lenye kudhuru afya ya akili yako na kukufanya ukawa mjinga na muovu hilo huwa haramu.Uharamu unatokana na
Wewe mwenyewe?
Asili?
Imani?
Uharamu unatokana na Imani na uhalisia,jambo lenye kudhuru afya ya akili yako na kukufanya ukawa mjinga na muovu hilo huwa haramu.[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]Uharamu unatokana na Imani na uhalisia,jambo lenye kudhuru afya ya akili yako na kukufanya ukawa mjinga na muovu hilo huwa haramu.
Nikikuuliza wewe marejeo yako ya kujia kipi kinafaa na kipi hakifai ni wapi ? Yaani umetumia vigezo gani au umerejea wapi mpaka ukaona kujifunza uchawi ni jambo lenye kufaa ?