Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Mkuu hivyo vifaa vy a kisasa ni nini?? Drone? Satellite? Au rocket? CT scan? 😀 😀
Nimecheka sana kuna vifaa vya kisasa vya ulozi??

Everyday is Saturday................................😎
 
CHOMA MOTO TU.
That's oldish types of witch

*sasa hivi watu wako kenye laser types
 
Tupe pros na cons za hio mikoba.......wengine watu wa tungi na mabebez
 
Hadi mganga kaokoka kweli mganga ni Mungu tu😂, sasa dr. naomba kufahamu ni mafakio gani uliyopata kutokana na kilinge na mikoba yote hiyo?katika nyanja hizi(socially,economically,politically etc?)

Je ni changamoto gani pia umekumbana nazo? Na kwanini umeamua kutafuta mrithi sahivi?

Umeamua kumtumikia Muumba sahivi baada ya kugundua kwamba hata uwe Boss mkuu wa kilinge bado Mungu ni mkuu zaidi eeh? Siku zote ulikua bado huamini?

Ilikuaje hadi ukapewa wewe huo urithi kutoka kwa huyo aliyekupa? Ulitimiza vigezo gani hadi ukapewa? Je hii njia unayoitumia kutafuta mrithi ndiyo iliyotumika kwako?

Finally tuambie mapema vigezo watu tuje kwenye usahili dr.😜
 
Jibu lake lipate matangazo tv& radio stations ili watu wapate kupona
 
Mikoba itanipa uwezo wa kufanya nini katika nyanja za uchumi, kijamii, kiroho na kisiasa?

Inanipa mipaka yoyote katika kutimiza majukumu?
 
Dah hili jibu lake litakuwa page kadhaa ..lakini niseme tu kwamba kila jambo na wakati wake...hata ulevi una ukomo wake pia...
Unajua shetani akizeeka anakuwa malaika[emoji3]
Najivunia kutafuta mrithi nikiwa katika mikono salama, siha njema, furaha na mafanikio ya kidunia
Changamoto kubwa ilikuwa ni kule kujizuia kudate na warembo ambao walikuwa wagonjwa wangu[emoji3062][emoji3061]
 
Mshana huwa nakupendea hapa tu kwa kusema ukweli.
Mimi ntakuja kwenye huduma yakoo ilimradi iwe maeneo ya pwani na mchango wa nguzo moja umepata
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] kituo kitakuwa na mengi mema mazuri kuliko kilinge
 
Mtani kwenye kutafuna ile bidhaa ulishinda kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…