Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Km Kweli umeamua kumrudia Mungu,basi hiyo usimrithishe mtu yeyote bali uchome viteketee kabisa, halafu utubu na uweke Nia ya dhati kabisa ya kumtumikia Mungu.Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Ni kweli,lakini kwa nini unataka kumkabidhi mwingine hizo Roho ambazo mwenyewe umeona kabisa hazifaiRoho ikishazaliwa haifi... Vilinge haviteketei kwa moto...kinachoungua ni visible objects tuu
Unasema kweli mbona jamaa wanakwama sanaWala ukizitaka zitakuja zenyewe
Hakuna dhambi KUBWA duniani kushinda USHIRIKINA. Kama uko serious kweli na una maanisha chukua nasaha hizi,waungwana huwa hawajifaragui na UOVU bali ukibainikiwa na ukweli hutubu na kurejea kwa Mola wao.Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Usisite kunijulisha,[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] kituo kitakuwa na mengi mema mazuri kuliko kilinge
Kilinge chako kama kidogo huoni kuwa unampa matatizo kwa kupata ushindani TOKA nje?Hakuna kinachokosa masharti na vigezo..
Pros unapata kila utakacho kwa wakati utakao bila kusogeza hata mguu
Cons vita na vilinge vingine nk
Uchawi unateketezwa kwa moto mzee.Roho ikishazaliwa haifi... Vilinge haviteketei kwa moto...kinachoungua ni visible objects tuu
Sasa madhabau atajengea niniSasa kama umeamua kumrudia mola wako kwa nini unataka kurithisha watu mikoba yako ya kichawi? Si ungeiharibu tuu,ili wewe ubaki ma mola wako?
Bora umechagua njia iliyo bora!Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Unapata pisi kali?Hakuna kinachokosa masharti na vigezo..
Pros unapata kila utakacho kwa wakati utakao bila kusogeza hata mguu
Cons vita na vilinge vingine nk
Sawa mkuuNajiandaa kurudi kumtumikia mola wangu
Hapana hilo la majini siliwezi kabisaamie naomba kuuliza unaweza kuondoa mtu majini aliokuwa nayo ambayo ni ya uganga???maana nimemaliza chuo nasota na hangaika kwa kila hali ila holaaaa mpm sasa.
naambiwa niganguo muarabu yupo kichwani.
Kachome moto hiyo mizigo uwe huru au kaitupe porini fisi waisambaratishe. Bado kuna watu wana mambo kama haya yasiyo na uhakika wala maana!Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka watu wanaroga tena na PhD zao.. Watu wa kaliba ya juu hasa , sio lumpen very well educated figures na kati yao wamo viongozi wa dini....Kinachonishangaza Mkuu ilikuwaje wewe ambaye ni well educated person kuingia kwenye hii sekta. Mimi siku zote nilikuwa najua hii sekta ni watu wa hovyo hovyo tu lumpen good for nothing ambao wamekata tamaa na maisha hivyo huingia kwenye hii sekta kuwadhuru binadamu wenzao ama ndugu, jamaa, marafiki na majirani. Je tangu uingie kwenye hii sekta umeshakutana na wasomi kama wewe au hata kukuzidi ambao nao wanafanya haya makitu? Nina maswali mengi sana Mkuu lakini najua huwezi kufunguka kiasi hicho kama ulivyodai hapo juu. Kuruka angani ni lazima iwe usiku tu? Huwezi kuruka mchana kama unaenda mahali na umechelewa ukaamua kufanya maujanja yako ili uwahi sehemu husika? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji1534][emoji1534][emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1752]Km Kweli umeamua kumrudia Mungu,basi hiyo usimrithishe mtu yeyote bali uchome viteketee kabisa, halafu utubu na uweke Nia ya dhati kabisa ya kumtumikia Mungu.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] moto utaunguza tunguli na mapembe sio nguvu husikaHakuna dhambi KUBWA duniani kushinda USHIRIKINA. Kama uko serious kweli na una maanisha chukua nasaha hizi,waungwana huwa hawajifaragui na UOVU bali ukibainikiwa na ukweli hutubu na kurejea kwa Mola wao.
Ushauri wangu choma moto na yateketeze hayo mavitu.
Itabidi tuanze kujadili uchawi ni nini na kwanini tunauteketeza kwa moto.[emoji1545][emoji1545][emoji1545] moto utaunguza tunguli na mapembe sio nguvu husika