😂😂😂🙌Dah!Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Mimi ungeniachia, sema nikiona Jina la Elly Mshana najua kabisa nimewahiwa.Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Kwenye warembo hapo utafanya warithi kurudishe majeshi nyuma bro.tunavopenda hivi haramu iliyononaDah hili jibu lake litakuwa page kadhaa ..lakini niseme tu kwamba kila jambo na wakati wake...hata ulevi una ukomo wake pia...
Unajua shetani akizeeka anakuwa malaika[emoji3]
Najivunia kutafuta mrithi nikiwa katika mikono salama, siha njema, furaha na mafanikio ya kidunia
Changamoto kubwa ilikuwa ni kule kujizuia kudate na warembo ambao walikuwa wagonjwa wangu[emoji3062][emoji3061]
Ha ha ha.... Mimi mkongwe sirithishwi narithisha....Chizi Maarifa kilinge hicho huyu mzee kabwaga manyanga.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi ungeniachia, sema nikiona Jina la Elly Mshana najua kabisa nimewahiwa.
Au si ndugu yako mkuu
[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji848][emoji848]matango pori[emoji848][emoji848][emoji848]Jumapili unaongea vitu kama hivi?. Mshana jaribu kuwapa kondoo kilicho bora si hayo matango pori, muumba wako anakutazama jinsi unavyo taka kupoteza watu wake. Unaelewa wazi wengi wao maarifa ni tatizo si kama hawamjui Mungu la hasha wanamjua shida ni maarifa. Sasa usitumie udhaifu huo kuzamisha waumini na wafia dini kwa kila aaminie MUNGU
Kwani una umri gani kwa sasa??Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1534][emoji1752][emoji1752][emoji1752]Bora umechagua njia iliyo bora!
Hongera kwa hilo.
Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Karibu nakusubiri... Kituo kikiwa tayari nitakualika uje kutoa madaUchawi unateketezwa kwa moto mzee.
Hapa itabidi tudurusu tamko uchawi ni nini. Kwa kuanzia tu kuna Uchawi wa aina mbili,ukirejea katika historia ya uchawi,kuna ule walio kuja nao wale Malaika wawili na kuna ule mwingine wa kabla.
Naendelea ....
Dah... Sa itakuwaje🤔🤔Ule unaoingia kundi la wazee