Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Kama kweli unataka kumtumikia Mungu , choma mikoba yote uhakikishe imekuwa majivu . Kumuachia mtu Ni sawa na kuendeleza ushetani .
 
Dah... Sa itakuwaje[emoji848][emoji848]
Kwahiyo sahivi unapambana na pensheni tu!!
[emoji3][emoji3][emoji3] sitaki shida na wanadamu tena.. Nahitaji upweke na amani na maombi kwa sana huku nikifundisha mambo ya kiroho kwenye center yangu
 
Kama kweli unataka kumtumikia Mungu , choma mikoba yote uhakikishe imekuwa majivu . Kumuachia mtu Ni sawa na kuendeleza ushetani .
Moto utaunguza vibuyu na mapembe tuu.. Dhana itabaki salama salimini
 
Nitume mimi hapa [emoji17][emoji17][emoji17]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] sitaki shida na wanadamu tena.. Nahitaji upweke na amani na maombi kwa sana huku nikifundisha mambo ya kiroho kwenye center yangu
Hiyo center ikiwa itahusisha meditation basi ntakuwa nahudhuria kila nipatapo muda...
 
Safi kabisa. Kwako wewe Uchawi ni nini hasa na historia yake ilianzia wapi ?

Tuanzie hapo...
Uchawi uliaza tangu kuumbwa ulimwengu kiimani... Na asili yake ni Mola mwenyewe
 
Vitie moto, huwezi mpa mtu uchawi wako akateswe na mizimu yako.

Najua imefikia zamu yako ya kutoa damu yenye kukupa uchungu. Toa.

Ndo utajua uchawi siyo deal.
 
Vitie moto, huwezi mpa mtu uchawi wako akateswe na mizimu yako.

Najua imefikia zamu yako ya kutoa damu yenye kukupa uchungu. Toa.

Ndo utajua uchawi siyo deal.
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…