madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,927
Mkuu ni kweliNdugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Sasa kaka hapa Uchawi ujaingiaje ? Labda kama unaendelea kuelezea ili nione unapo igusia hoja ya msingi.Pale kaini na Abel walipotoa sadaka ya malimbuko na Kaini kutoa hafifu..Abel sadaka yake ikapokelewa na Kaini haikupokelewa...
Hicho kilinge mkuu kwa vile umeona kwa Mungu ndiyo salama yako nakushauri umwite Askofu aje akipige moto na kuteketeza kila kitu kabisa!Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Nimekujibu mara 3 lakini naona hujaridhirika na majibu yanguSasa kaka hapa Uchawi ujaingiaje ? Labda kama unaendelea kuelezea ili nione unapo igusia hoja ya msingi.
Au unataka kuniambia watoto hawa wa Adamu ndiyo walileta uchawi au ?
Kaka swali langu naona bado hujanijibu.
Labda kuna kitu hamjui vema, kuteketeza tunguli kwa moto ni tofauti kabisa na kuteketeza kilinge.. Kuchoma moto kilinge sio mwisho wake..kuna mengi ya kufanya..Moto ni hatua ya mwishoHicho kilinge mkuu kwa vile umeona kwa Mungu ndiyo salama yako nakushauri umwite Askofu aje akipige moto na kuteketeza kila kitu kabisa!
Tatizo huo ULOZI,UCHAWI NA SHIRK tu!Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Kaka swali langu hujajibu mpaka muda huu,nilichokiona kwako maana ya uchawi hujui (hapa utanikosoa kwa kunipa maana ya uchawi,lakini mpaka muda huu hujajipa maana ya uchawi).Nimekujibu mara 3 lakini naona hujaridhirika na majibu yangu
Nilikujibu chanzo ama asili ya uchawi
Maswali yako yaliyofuata yalikuwa yanafananafanana hebu cheki muongozo uliotufikisha hapa
Hebu nisome kwa ufafanuzi zaidi
Kwenye maandiko ya Kikristo tunaambiwa Mungu ndie mganga wetu mkuu.. Mganga anagagua lakini pia hashindwi kufanya uchawi(kwa tafsiri yoyote ile)
Kwenye mapigo saba yale ya Misri Farao alileta waganga wa kupambana na madhila ya yale mapigo... Waganga wale walitaka kushindana na walawi wa Mungu lakini wakashindwa mfano walipoleta nyoka, Mungu kupitia walawi wake akaleta nyoka wenye nguvu zaidi na kuwala wale nyoka wa wachawi wa Farao
Uchawi ni pamoja na uwezo wa kutenda miujiza.. Uumbaji wa dunia kwa kutamka tu na ikawa ni mojawapo ya uchawi... Kama tunaamini kwamba vyote vinatoka kwa Mungu basi hata uchawi unatoka kwake
Uchawi wa cain unaanzia pale kwenye kutoa malimbuko ...roho ya kwanini! Inakuja hatua ya pili kijicho, wivu na husuda.. Halafu anakuja na uamuzi wa kumuua nduguye
Uchawi huanzia kwenye wazo na daima haliwi zuri
Je unanipata?
Kaka ngoja nikusaidie katika maana ya Uchawi(Sihri) kisha unipe jibu la lini ulimwenguni Uchawi ulidhihiri.Nimekujibu mara 3 lakini naona hujaridhirika na majibu yangu
Nilikujibu chanzo ama asili ya uchawi
Maswali yako yaliyofuata yalikuwa yanafananafanana hebu cheki muongozo uliotufikisha hapa
Hebu nisome kwa ufafanuzi zaidi
Kwenye maandiko ya Kikristo tunaambiwa Mungu ndie mganga wetu mkuu.. Mganga anagagua lakini pia hashindwi kufanya uchawi(kwa tafsiri yoyote ile)
Kwenye mapigo saba yale ya Misri Farao alileta waganga wa kupambana na madhila ya yale mapigo... Waganga wale walitaka kushindana na walawi wa Mungu lakini wakashindwa mfano walipoleta nyoka, Mungu kupitia walawi wake akaleta nyoka wenye nguvu zaidi na kuwala wale nyoka wa wachawi wa Farao
Uchawi ni pamoja na uwezo wa kutenda miujiza.. Uumbaji wa dunia kwa kutamka tu na ikawa ni mojawapo ya uchawi... Kama tunaamini kwamba vyote vinatoka kwa Mungu basi hata uchawi unatoka kwake
Uchawi wa cain unaanzia pale kwenye kutoa malimbuko ...roho ya kwanini! Inakuja hatua ya pili kijicho, wivu na husuda.. Halafu anakuja na uamuzi wa kumuua nduguye
Uchawi huanzia kwenye wazo na daima haliwi zuri
Je unanipata?
Unajua Jurjani Tunapishana kwenye uelewa mimi na wewe kwakuwa msingi wa mijadala yako unajikita zaidi kwenye kile imani yako ilivyokufunza na mara nyingi hupendi kuliona jambo nje ya hapo ama hutaki kukubaliana na mawazo huru nje ya imaniKaka ngoja nikusaidie katika maana ya Uchawi(Sihri) kisha unipe jibu la lini ulimwenguni Uchawi ulidhihiri.
Na nukuu :
"Amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”,
maana yake ni kitendo cha kujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na
akasema pia kuwa; “Uchawi ni kulibadilisha jambo
mbali na uhakika wake, nako ni kuwadhihirishia
watu jambo lisilo la kweli wakaliona kuwa ni la kweli.”
Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu
‘anhu) amesema : ”Uchawi ni kuidhirisha
batili katika sura ya haki.”
Hayo ni katika kamusi zalugha.
Amma katika kamusi ya dini,maana ya
neno Uchawi (AsSihr), kama
alivyo fasiri Mwanachuoni mkubwa Fakhruddin Al Razi kuwa; ”Ni kila jambo lililofichika sababu zake, linalotokeza kwa sababu zisizo za kawaida na
ndani yake mnahadaa (khidaa).”
Tuendelee na mjadala kutokea hapo....
Nimekujibu kwa ufupi hapo chini , nimechanganya kwa pamoja post zako mbili, hebu nisome kisha tuendeleeeKaka swali langu hujajibu mpaka muda huu,nilichokiona kwako maana ya uchawi hujui (hapa utanikosoa kwa kunipa maana ya uchawi,lakini mpaka muda huu hujajipa maana ya uchawi).
Nilikuuliza maswali mawili au matatu,la kwanza ni nini hasa uchawi na umeanza lini na nani wa kwanza. Ukasema tangu kuumbwa kwa ulimwengu,mwisho tukaja kubaliana ya kuwa vyote vinatoka kwa Mola,lakini ajabu umerudia tena suala ambalo laiti kama ungekuwa makini usingelisema tena sababu nimeligusia,ndiyo uchawi nao unatoka kwa Mola muumba.
Ajabu nyingine tena unaelezea tukio la watoto wa Adamu kama uchawi lakini haikutosha ukasema tena kitendo cha Mola kuumba dunia nao ni uchawi,hili ni tatizo la kiufundi la kutojua hasa uchawi ni nini. Mola ametakasika na hilo,ndiyo maana kuna miujiza na mazingaombwe.
Wivu,kijicho na mfano wa hayo si katika uchawi bali ni katika uovu na tabia mbaya.
Kwani mkuu wewe kinachokutoa huko ni nini? Kama umeona ni ushetani kwa nini unataka wenzio waendeleze shetani? Mshana Jr bwana, anauzia wenzake msala!!Labda kuna kitu hamjui vema, kuteketeza tunguli kwa moto ni tofauti kabisa na kuteketeza kilinge.. Kuchoma moto kilinge sio mwisho wake..kuna mengi ya kufanya..Moto ni hatua ya mwisho
[emoji3][emoji3][emoji3] ni vema mhitaji akautendea haki udadisi wake.. Akiona kuna faida atabaki...au kinyume chake..kwakuwa si wote ni waaminiKwani mkuu wewe kinachokutoa huko ni nini? Kama umeona ni ushetani kwa nini unataka wenzio waendeleze shetani? Mshana Jr bwana, anauzia wenzake msala!!
Tunaishi kuutafuta ukweli kama ulivyo na si kama watu wanavyo ona au kuhisi.Unajua @Jurjani Tunapishana kwenye uelewa mimi na wewe kwakuwa msingi wa mijadala yako unajikita zaidi kwenye kile imani yako ilivyokufunza na mara nyingi hupendi kuliona jambo nje ya hapo ama hutaki
Uchawi wenye manufaa ni uchawi gani ?Ni wachache mno mno mno wanaotafuta 'uchawi wa manufaa' ...! Na wote walioumizwa na uchawi asili ni hizo ulizoita tabia mbaya
Hii si sahihi. Mimi naona tungeanza kwanza kujikita katika kudurusu maana ya Uchawi kisha tukakubaliana kutokea hapo,yaani tuwe na marejeo tuweze kuhukumu,wewe utoe maana yako ya Uchawi na wewe usome maana niliyo iweka hapa juu ya Uchawi kisha tuendelee.LAKINI bado si tatizo sana... Kila kitu kina asili mbili mbili na uchawi pia unazo hizo asili
Hizi nilizotaja ukaziita tabia mbaya ndio misingi ya
Pepsi tu chaliMimi nafaa kuwa mrithi! Shida yangu kubwa Mi Mlevi! Ukinipa KILINGE ipo siku ntawaroga SERENGETI na TBL ije kuwa majuto
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ok lakini nataka tuwe na tafsiri moja huru kwa wote bila kuegama viasili vya kiimani na dini za kuletewa zilizokuwa na malengo yakeHii si sahihi. Mimi naona tungeanza kwanza kujikita katika kudurusu maana ya Uchawi kisha tukakubaliana kutokea hapo,yaani tuwe na marejeo tuweze kuhukumu,wewe utoe maana yako ya Uchawi na wewe usome maana niliyo iweka hapa juu ya Uchawi kisha tuendelee.
Hizo sababu sasa haziitwi uchawi ila hupelekea mtu katika kufanya uchawi. Sasa swali uchawi ni nini hasa ?