Natafuta wa kunibeba au anayeuza chumba Main Campus UDSM.

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,920
Reaction score
3,240
Habari wakuu.

Mimi naingia mwaka wa tatu (male), najua kupata chumba ni nadra sana Hapa UDSM hasa kwa wasio mwaka wa kwanza. Hivyo kama kuna mtu, either first year au mwaka wowote aliyepata chumba na bado hajapata mtu wa kukaa naye naomba aniPM au akireplay kwenye thread hii kunijulisha nitamPM tuelewane.

Kama kuna kiasi atahitaji nipo tayari kuchangia. Na namaamini tutaishi kama ndugu na kusaidiana hapa napale kimasomo na kimaisha (ndio life la UD).

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…