Ninatafuta wa kunibeba udsm mwaka wa masomo-2013/2014 Mabibo Hostel au Main campus, yeyote wa jinsia ya kiume alie tayari kunibeba awe mwaka wa kwanza, mwaka wa pili au wa tatu atakaepata chumba tuwasiliane kupitia 0769265936. Nitalipia accommodation kwa semester ya kwanza na yeye atalipia ya pili.