Natafuta wa kunipoza machungu niliyonayo

Ungewekaga na kapicha kidogo uzi ungenoga zaidi
 
Khaaaaa shoga acha kukurupuka, acha kabisa embu relax kwanza
 
Unapatikan wap
 
Ukishaleta shida zako nyiiingi jf mabazazi watakutumia mpaka ukome
 
Nitafute pm
 
NAKUSHAURI KWA NGUVU ZOTE:- Acha kutafuta mchumba kwa wakati huu. Kwanza wewe umesema umeokoka. Hujaokoka sawasawa. Usingekuja kutafuta mchumba Jf. Kama umeokoka vizuri utakuwa unasoma Biblia (Mith 19:14l inasema:- "Mke/(mume) mwema anatoka kwa Bwana Mungu sio Jf . Pili, sasa umejawa na roho ya uchungu. Hiyo ni roho kamili ya uovu. Unatakiwa ukae utulie umwombe Mungu na UMSAMEHE huyo uliyedhani atakuoa. Usipomsamehe Mungu ameshasema hatakusamehe (Mt 6:15). Kwa hiyo utaishia kupata lwachumba watakaokuumiza tu mpaka utazeeka bila kuolewa. Jichanganye na vijana wenzako kwenye makanisa mbalimbali, fanya shughuli za kijamii ukutane na watu wengi tofauti-tofauti. Huko unaweza kukutana na aliye wako
 
Acha kumdanganya mwenzako, Mchumba anapatikana popote. Pengine mungu alishapanga mchumba atapatikana JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…