Natafuta wa kupanga nae chumba niko st.john's dodoma.

Joined
Aug 1, 2013
Posts
31
Reaction score
3
simu yangu ni 0783564059. Nasoma BAED,nimetokea BUKOBA,nina adabu na ninamheshimu kila m2.Nimejifunza combat karate,KARATE shotokan na GUJULU.Haya yote yanafanya niwe mpole na ukiniona utaamini na ISITOSHE MI NI MMOJA WA WAFUASI WA DINI YA MASHAIDI WA YEHOVA(watu wasio na ubaguzi wala chuki badala yake sifa yao na utambulisho wao ni UPENDO si msalaba).Karibu 2ish wote, ila asiwe msichana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…