CABANA
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 420
- 556
Mimi kijana miaka 30, Nimemaliza university Urusi, proffessional ni daktari MD. Nahitaji mchumba wa kike wa kweli mweupe awe mwembamba au asiwe mnene sana,elimu yoyote,dini mkristo,umri 20-29.Ajue maana ya uchumba,awe tayari kuolewa kipindi cha mwaka mmoja hadi miwili.Tuwasiliane.ASANTE.