Natafuta waandishi na Photographer

benny gilbert

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
110
Reaction score
65
Habari, wanaJF. Kama title linavyojieleza, natafuta waandishi ambao wanaweza kuandika na kuweka picha za maeneo ya kitarii kwa lengo la kuweka kwenye webiste . Lengo ni kitangaza nchi na kuwavuta watarii kuja kwa wingi kwenye nchi yetu pamoja na waandishi kuingiza pesa kwa kupitia kazi hiyo.
 
Watarii ndio nini?
Kiswahili tu shida hicho kiingereza utawezaje kuwasiliana na hao "watarii"?
Jifunze Kiswahili kwanza ukijua mengine yatafuata!
 
ukitaka video and picture editor ni pm
 
Nipo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…