MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 115
wadau habar zenu ninawazo la kuanzisha kampuni ya magazet hapa dar. nimefanya utafiti nimegundua inalipa sana, so inaitajika mtaji wa kuanzia ni milion tano na kuendelea, naomba vijan watano tu ambali wako tayari take risk ya kuanzisha magazet. kila mmoja wet awe na one milion na hata kama tukishindwa bas tuwe na kianzio na tutachanga mawazo ya kupata mtaji wa kuongezea kwa kwenda kwa wadau au benk. nipo serious hii inshu wadau, kwan tutajiari na kuajir wenzet. huu mchanganuo wa juu juu copy 10000 all cost @copy 400 benefit @copy 50 nitauza kwa jumla ni 450@copy muujaz reja reja 500@copy. faida nitakayoipata 50 times 10000=500000@day 500000 times mwezi 30=15000000 nb: tutaanza na gazet ya udaku na michezo. kwan ndio yanauzika sana kutokana na takwimu za bongo. kama upo tayari naomba uniambie na kumbuka lazima tupate hali ngumu mwanzon. niko serious washikaji, tujitoe tujiajir na tuajir wana. asanten