Hata maisha yakinipiga haibadili chochote, elfu nane kwa siku mjini enzi hizi ni maisha ya utumwa.wewe unaongea tu maisha hayajakupiga siku yakikupiga utakumbuka hii thread
Duuh HR weeesisi sio hao mzee -ulizia Prance international co ltd acha kuongea kama kichwani hamna kitu unaevidence ??kwa unachokiongea
Ila mkuu, mtaani wapo wanaotamani hy 200k hasa Ukiwa huna mishe yoyote.Kibaka tu huyu.Kuna sehemu kasndika..."nakuingiza safi utakula maisha hadi usimulie"...!Hunihuni hili.
Tatizo hawi muwazi(hajiweki wazi) kuhusu hiyo kazi.Ni ya aina gani?Ila mkuu, mtaani wapo wanaotamani hy 200k hasa Ukiwa huna mishe yoyote.
Kuna wazazi wetu kibao wanafanya kazi za 150k na wanalisha familia fresh kabisa
Mkuu, tangazo lipo vzr na linaeleweka sana tuu, n nyie mmeshindwa kujiongeza.
Ww unaona huo mshahara, unadhani itakuwa n kazi ya ofisini, unaingia na tshirt nyeupe unatoka ikiwa nyeupe vile vile?
Umeambiwa uwe na nida tuu, sasa kama wangetaka elimu yako c wangesema uje na vyeti, hakuna mambo ya elimu mana inahitajika nguvu na sio akili za darasani.
Wakuu, mbona tangazo limekaa kueleweka fresh tuu
Hawalishi familia fresh kabisa mkuu, labda kama wako kijijini wanafanya na Kilimo au ufugaji pembeni. Tuache ku romanticize umasikini, mjini huwezi kujilisha hata peke yako fresh kwa elfu sita kwa siku, ulipe kodi na nauli juu.Ila mkuu, mtaani wapo wanaotamani hy 200k hasa Ukiwa huna mishe yoyote.
Kuna wazazi wetu kibao wanafanya kazi za 150k na wanalisha familia fresh kabisa
Ila mkuu, mtaani wapo wanaotamani hy 200k hasa Ukiwa huna mishe yoyote.
Kuna wazazi wetu kibao wanafanya kazi za 150k na wanalisha familia fresh kabisa
Hapana, watu humu wanapenda kujikosha sana.Unasaga vichupaa😀
Hawalishi familia fresh kabisa mkuu, labda kama wako kijijini wanafanya na Kilimo au ufugaji pembeni. Tuache ku romanticize umasikini, mjini huwezi kujilisha hata peke yako fresh kwa elfu sita kwa siku, ulipe kodi na nauli juu.
We unanifaa sana😆Vema dada kiss-me.
Bro, mm mwnyw nimekulia huko.Hawalishi familia fresh kabisa mkuu, labda kama wako kijijini wanafanya na Kilimo au ufugaji pembeni. Tuache ku romanticize umasikini, mjini huwezi kujilisha hata peke yako fresh kwa elfu sita kwa siku, ulipe kodi na nauli juu.
Mkuu nimekosa hiyo kazi mkuu kibaha mbali sana NAMI nipo mbali pia ila Nina uhitaji wa kazi dah! 😢njo nikupe ajira ule maisha yani nakuingiza kwenye mfumo wazi wazi
Cjui bosswewe unazani vibanda vya mpesa wanalioa ngapi kwa mwezi 😁
We ni mchokozi🤣Kwa hiyo tunamchelewesha huyo dada mleta tangazo kupewa kamisheni yake?
Bro, soma comments #56 then iweke moyoni then you will fill the pain ya jamaa, ukiwa nje usiongelee ya ndani broHawalishi familia fresh kabisa mkuu, labda kama wako kijijini wanafanya na Kilimo au ufugaji pembeni. Tuache ku romanticize umasikini, mjini huwezi kujilisha hata peke yako fresh kwa elfu sita kwa siku, ulipe kodi na nauli juu.
Ulikuwa ndio umeumaliza Chua na huna familia, pia inaweza kuwa kazi ya 200k lakini kuna dili nyingine za pembeni au viposho vya hapa na pale au kazi nusu siku tu, halafu labda hata ni zamani wakati nauli ni jero, sasa hivi nauli ya chini kabisa ya dalaladala ni buku na hakuna boda anayekubali buku tena.Kawaida mkuu, kazi yangu ya kwanza baada ya kumaliza Chuo nilikua nalipwa 200k na nafanya proffessional work.
Hapo nimepanga chumba 30k.
kazi gani hiyo ya kumlipa 200k kwa mwezi? Hiyo hela umeona ndio ya kututishia sisi? Kafie mbele tapeli wewe. Sorry Mbaga Jr nilidhani nam quote huyo tapeli KilimiMkuu, tangazo lipo vzr na linaeleweka sana tuu, n nyie mmeshindwa kujiongeza.
Ww unaona huo mshahara, unadhani itakuwa n kazi ya ofisini, unaingia na tshirt nyeupe unatoka ikiwa nyeupe vile vile?
Umeambiwa uwe na nida tuu, sasa kama wangetaka elimu yako c wangesema uje na vyeti, hakuna mambo ya elimu mana inahitajika nguvu na sio akili za darasani.
Wakuu, mbona tangazo limekaa kueleweka fresh tuu
Sa si uombe! Umekazana kumpamba mleta mada bila kuingia ukatuletea mrejesho🤣Binafsi nakuelewa Sana, na tangazo lipo wazi haina haja ya kuumiza kichwa