Natafuta wafanyakazi, Kibaha Misugusugu

Mm hapa nilipo nalipwa 250k na bado n pesa ya kupigiwa kelele na kusumbuana, afu fresh tuu mhuni nadunda Huku nikipambania Kazi hizo nazotamani kulipwa inavyostahili

Seran
Yoda
Pambana mkuu ndio mwanzo huo! Huna received ya hivi karibuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…