Natafuta wafanyakazi, Kibaha Misugusugu

Bosi unatutisha 😁
Na vipi kwa kazi za ulinzi! Mimi ni mzee wa makamo, naweza kupata kazi ya kulinda hapo site?
huku najua kunawezi kuna matapeli kwaio ukija uje kwa nia ya kufanya kazi maana utaenda jela hiyo ni taadhari
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Haya ndio yale matangazo ya kazi ya kwenye nguzo za umeme
 
Ila mkuu, mtaani wapo wanaotamani hy 200k hasa Ukiwa huna mishe yoyote.

Kuna wazazi wetu kibao wanafanya kazi za 150k na wanalisha familia fresh kabisa
5 kwa siku familia inakula nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…