Natafuta wafanyakazi wawili wa ndani

Natafuta wafanyakazi wawili wa ndani

Positive

Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
95
Reaction score
15
Wana JF,

Kuna jamaa yangu ameniomba nimtafutie wafanyakazi wa ndani wawili.

Wa kwanza aweze kuongea kiingereza, atakua na kazi ya kumlea mtoto tu. Ataishi humo humo. Awe mdada, kama ana mtoto ni a plus. Mshahara ni kuanzia Laki moja ya Tanzania net.

Wa pili awe mdada au mkaka ajue kupika atafanya kazi za ndani kama house boy au house girl. Ataishi humo humo pia. Mshahara ni kuanzia elfu hamsini.

No middle men. Muombaji aombe mwenyewe. Atume ujumbe wa kusema anatafuta kazi kwenye namba 0659 305556 na atapigiwa.

Asanteni.
 
Nashukuru kwa waliojitokeza. Nafasi ya mtoto naona ni ngumu kupata.

Kuna anayemjua hata Nurse professional? mshahara tunaweza juelewana ili mradi Kiingereza hakimpigi chenga
 
duh, kazi ya mtoto ni fragile nakushauri kwa hizo details na huo mshaara wa laki atakuwa anamuonea mtoto wa watu kwa shida zetu. Mtoto alie, alishwe , aogeshwe, na kero kibao plus english proficiency . She better thinks twice- (and I am writing from experience). Awe makini aijepata tu mtu kwa tamaa ya hela au shida za hapa na pale
 
wew huyu jamaa yako hajawahi kuwa na mfanyakazi wa ndani? kama ndiyo lini aliondoka?
 
Sidhani kama atapata yumkini ni bahiri sana harafu ana roho mbaya.Mi ninao watano siwalipi hivyo Man.
 
MIMI nampongeza mleta mada, kwani kawa muwazi sana, ni suala la mtu tu kuwa na uhitaji wa kazi..kuna wengine kwa jinsi walivyopigika katika maisha, hiyo ni nafasi yao nzuri sana hivyo mtu awaye yote asidharauliwe kuhusu hili
 
Back
Top Bottom