M Msingi_Mbio JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 336 Reaction score 44 Jun 12, 2014 #1 Nimefukuzwa kazi isivyo halali, na sijapewa chochote. Natafuta wakili wa kunisaidia au mtu yeyote mwenye uzoefu na kesi za ajira Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Nimefukuzwa kazi isivyo halali, na sijapewa chochote. Natafuta wakili wa kunisaidia au mtu yeyote mwenye uzoefu na kesi za ajira Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Jun 12, 2014 #2 scopi_on_nge said: Nimefukuzwa kazi isivyo halali, na sijapewa chochote. Natafuta wakili wa kunisaidia au mtu yeyote mwenye uzoefu na kesi za ajira Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums Click to expand... Pole mkuu, kuwepo tu JF ni nusu ya kutatuliwa kwa tatizo lako, tusubiri waje hapa ndipi kisima cha mafanikio kilipo...hapa hawatoi pesa ila maarifa. pole mkuu
scopi_on_nge said: Nimefukuzwa kazi isivyo halali, na sijapewa chochote. Natafuta wakili wa kunisaidia au mtu yeyote mwenye uzoefu na kesi za ajira Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums Click to expand... Pole mkuu, kuwepo tu JF ni nusu ya kutatuliwa kwa tatizo lako, tusubiri waje hapa ndipi kisima cha mafanikio kilipo...hapa hawatoi pesa ila maarifa. pole mkuu
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Jun 12, 2014 #3 scopi_on_nge said: Nimefukuzwa kazi isivyo halali, na sijapewa chochote. Natafuta wakili wa kunisaidia au mtu yeyote mwenye uzoefu na kesi za ajira Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums Click to expand... Mkuu kuna rafiki yangu pia anaisubiria barua yake,kisa alitoa ushahidi wa kweli juu ya mwenzake aliyefukuzwa kazi kwa magumashi, kampuni inamtuhumu huyu wa sasa kwa kuitia hasara ya kumlipa fidia mwathirika wa kwanza, msaada please.
scopi_on_nge said: Nimefukuzwa kazi isivyo halali, na sijapewa chochote. Natafuta wakili wa kunisaidia au mtu yeyote mwenye uzoefu na kesi za ajira Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums Click to expand... Mkuu kuna rafiki yangu pia anaisubiria barua yake,kisa alitoa ushahidi wa kweli juu ya mwenzake aliyefukuzwa kazi kwa magumashi, kampuni inamtuhumu huyu wa sasa kwa kuitia hasara ya kumlipa fidia mwathirika wa kwanza, msaada please.