natafuta wakumuoa

Joined
Mar 27, 2013
Posts
1
Reaction score
0
naitwa Salum Kassim toka Dar es salaam elimu yangu ni kidato cha nne nina umri wa miaka 19 natafuta msichana wa kiislam aliyetayari kuwa nami kwa miaka 2 ya uchumba ili tuweze kujuana kitabia alafu ndoa inafuata.huyo msichana awe mtu wa Tanga,Dar es salaam ama Zanzibar sijali elimu yake umri kuanzia miaka 18-21.kwa aliyetayari tuwasiliane kupitia email at salum_kassim@yahoo.com ama kwa simu namba 0714-086701 tafadhali usibeep
 
mh! Ndo maamuzi baada ya matokeo ya kidato nini? Kaka ushauri wangu, hebu kamuka na maisha kwanza ndo uwaze kuoa. Umri wako si wa kutafuta mke kijana japo ni mtu mzima. Hayo ni Maoni tu kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…