Natafuta walimu tufanye project!

Natafuta walimu tufanye project!

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
819
Reaction score
756
Habari wasomi. Kama title inavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu wa masomo yote ya O-LEVEL & A-LEVEL pamoja na CPA kama wapo. Kwa walimu wa secondary kazi yao kubwa watakuwa wana solve past paper za necta na mock pamoja na kuweka notes.

Kwa baadae nafikiri tunaweza kuanza ku solve pia practical past paper .

Kuna mwanya mkubwa sana kwenye hii sector kozi wengi wana provide past paper without solutions.

Kama upo dar tunaweza kuonana siku ya tarehe 16 ambayo ni jmosi tuweze kujadili namna ya kufanya hizi kazi pamoja malipo.

LOCATION: TABATA SEGEREA, CHAMA NEXT DOOR.


NAMBA ZANGU: 0652247221, PIGA SIMU USITUME MSG WALA USIJE WHATSAPP.


HAKIKISHA UKO VZUR KWENYE FIELD YAKO, MAANA UTAJILIPA KUTOKANA NA CONTENTS ZAKO. GOOD CONTENTS MORE MONEY.


WALIMU WA DAR TU. 📌
 
Back
Top Bottom